Sera ya Utoaji

Kiasi cha chini: TSh 10,000

Muda wa malipo: Ndani ya saa 24

Mitandao: M-Pesa (Vodacom), Airtel Money, Tigo Pesa (Mixx by Yas), HaloPesa

Kila ombi hupitiwa na timu yetu kabla ya kulipwa. Hakikisha namba uliyoweka ni sahihi na imesajiliwa kwa jina lako. Ombi lililokataliwa hurudisha salio lako na sababu itaonekana kwenye ukurasa wa Toa Pesa.

Hatutozi ada yoyote ya kutoa pesa. Kama malipo yamechelewa zaidi ya muda uliotajwa, wasiliana na Customer Care.