Masharti na Vigezo

Kwa kutumia TANZAFLOW unakubali masharti yafuatayo:

  • Mtumiaji mmoja anaruhusiwa kuwa na akaunti moja tu. Akaunti za udanganyifu zitafungwa.
  • Zawadi hutolewa mara moja tu kwa kila video baada ya kutazama na ku-like.
  • Ni marufuku kutumia programu za kiotomatiki (bots) au kuchezea muda wa kutazama.
  • Taarifa unazotoa (jina na namba ya simu) lazima ziwe zako na sahihi.
  • TANZAFLOW ina haki ya kubadilisha kiwango cha zawadi au masharti wakati wowote.
  • Akaunti inayokiuka masharti inaweza kufungwa na zawadi zake kufutwa.