Kuhusu TANZAFLOW
TANZAFLOW ni jukwaa la Kitanzania linalounganisha watangazaji na watumiaji. Watumiaji hutazama video fupi, huzi-like, na hupata zawadi ndogo ya pesa kwa kila video wanayoikamilisha.
Dhamira yetu
Kurahisisha njia halali na salama ya vijana wa Tanzania kupata kipato kidogo cha ziada kupitia simu zao, popote walipo.
Uaminifu
Hatuombi ada ya kujiunga. Malipo yote hufanyika kupitia mitandao rasmi ya simu: M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na HaloPesa. Kila zawadi na kila ombi la malipo huhifadhiwa kwenye mfumo wetu kwa uwazi.